MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
Kinyota inaonekana Wema yuko juu sana. Na mwanamume atakae pendwa nae hupata mafanikio katika shughuli zake.
Kitendo cha Diamond kuachana na Wema, tena katika mazingira kama ya kumdharau hivi, inaweza kua ndio mwisho wa Diamond kungaa! Kwani Umaarufu wa Wema pia ulisaidia sana Mafanikio ya Diamond.
Diamond hajarogwa na mtu, wala mtu yoyote asijitafutie umaarufu. Nguvu za kinyota ni saw na gravitational force. We walk upright because of the it. But it is invisible. Hivyo ndio nguvu za kinyota zinavyo fanya kazi.
Kuna sababu nyingi, lakini kinyota mimi ndio naona hivyo!