HAKUNA DIAMOND BILA WEMA?. (Behind every successful Man.......)

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
521
Reaction score
170
Kinyota inaonekana Wema yuko juu sana. Na mwanamume atakae pendwa nae hupata mafanikio katika shughuli zake.

Kitendo cha Diamond kuachana na Wema, tena katika mazingira kama ya kumdharau hivi, inaweza kua ndio mwisho wa Diamond kungaa! Kwani Umaarufu wa Wema pia ulisaidia sana Mafanikio ya Diamond.

Diamond hajarogwa na mtu, wala mtu yoyote asijitafutie umaarufu. Nguvu za kinyota ni saw na gravitational force. We walk upright because of the it. But it is invisible. Hivyo ndio nguvu za kinyota zinavyo fanya kazi.

Kuna sababu nyingi, lakini kinyota mimi ndio naona hivyo!


 

ktk maisha yangu mpaka leo hii sijawahi kuwa muumini wa mambo ya unajimu,mafanikio ya mtu yanatokana na jitihada zake ktk kufanya kazi sawa sawa pamoja na msaada toka kwa Muumba wake,hizo nyingine ni bla bla tu ambazo haziwezi kuwa proved beyond reasonable doubt.
 

You will prove on this. Behind every successful man, there is a woman. Not your mother or you sister. Your spouse.
 
And then,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mafanikio hayatokani na jitihada peke yake. Mvuto wa mtu katika jamii kutokana na personality yake ilivyo, hu determine success ya mtu. Viko vitu vidogo vidogo vidogo Collectively huleta mafanikio ya mtu."SUCCESS IS IN THE LITTLE THINGS YOU SAY, AND LITTLE THINGS YOU DO, EVERY DAY"

Kila mtu mwenye kuangalia au ku analyse mambo beyond human eyes atagundu tu, Kuwa WEMA SEPETU, ana mchango mkubwa sana katika Mafanikio ya DIAMOND, hasa pale DIAMOND alipo jifanya kua anampenda sana, na NI muokozi wa WAME katika Mapenzi, hasa kutokana Na misukosuko ya Mapenzi alio kua anakutana nayo WEMA. Watu wengi Walifurahi, walidhani kua DIAMOND IS A REALY MAN, WHO CAN HANDLE WILD WOMAN LIKE WEMA SEPETU.

DIAMOND alipata EXPOSURE Kubwa juu ya hilo, hivyo likaongeza upepo katika Tanga lake la Mafanikio. Then Baada ya kujiona kua sasa yuko ABOVE THE WORLD, dalili za kumdharau WEMA zika anza kuonekana hadharani, sijui mara vipigo etc. Still WEMA alionekana KUFA katika PENZI lake Kwa DIAMOND.

Hatimae WEMA aka give up. I THINK THIS IS FOR REAL. ANAENDELEA NA MAISHA YAKE, NA INAONEKANA ATAPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA, hasa kutokana na Sapport ya Mama yake. Nani kama MAMA, hiyo ni faraja pia itayompa nguvu WEMA.

THERE IS NO LOVE AFTER LOVE. WEMA KEEP ON KEEPING GOING ON WITH YOU LIFE, NEVER LOOK BACK, ONE DAY A REAL MAN WILL APPEAR IN YOU LIFE AND YOU WILL LIVE YOU LIFE HAPPILY.

VILE VILE USISAHAU UNAWASAIDIA WATU WENGINE KATIKA KUISHI KWA KUKUANDIKA KWENYE MAGAZETI, WAACHE WAPATE RIZIKI ZAO, CHURA UKIMPIGA TEKE, UNAMUONGEZEA SPEED
 
Izo nyota ndo nini?
Mbona hamsemi jua au mwezi?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ungeekuwa na bidii hizi kwenye kutafuta pesa ungekuwa mbali sana badala ya kufuatilia maisha ya watu ambao hata kukufikiria hawakufikirii sembusa kukujuwa, majitu kama nyinyi ni hasara kwa Taifa.
 
ungeekuwa na bidii hizi kwenye kutafuta pesa ungekuwa mbali sana badala ya kufuatilia maisha ya watu ambao hata kukufikiria hawakufikirii sembusa kukujuwa, majitu kama nyinyi ni hasara kwa taifa.

a wise man learn from others, no man is an island. Sociology, sociology. Tuambie jina lako na wewe tukuandike. Dont be persimistic.
 
Uongo tu hakuna lolote, jamaa anajituma kwenye kazi yake!!!!!!
 
maraooo...Q chillah anasema Diamond anasafiria nyota yeake. Hating these Bongo flava drama
 
Hakuna cha wema wala nini, kazi nzuri, show nzuri, muziki mzuri kwanini asing'ae???

Sidhani kama anajituma peke yake kuliko wengine, but lucky imemchagua yeye kutokana na kua na wema. Believe it or believe it not. But TIME will tell kama Loliondo.
 
Sidhani kama anajituma peke yake kuliko wengine, but lucky imemchagua yeye kutokana na kua na wema. Believe it or believe it not. But TIME will tell kama Loliondo.

mmh haya bana!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…