Dopodopo Kadopo
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 120
- 19
Basi wewe ni mpumbavu,kibaraka mkubwa wa mafisadi usiye na aibu unayechekelea kuwanyonya wafanyakazi masikini wa Tanzania.
Dr Dau analipwa Shilingi ngapi kwa mwezi?......
wanajua wanacho kifanya.fedha hizo wanataka kuzifanyia makaratee kwenye uchaguzi mkuu 2015.wewe subiri utaona. kule walioko zoea kuchota watu macho yao yote yapo hapo hawawezi tena.je vipeperushi na vipeperushwa 2015 itakuwaje? maandalizi ccm isifedheike sana maana kushindwa ni lazima.Jamani hivi mtu katoka mgodini(mwanafunzi), alikuwa anakatwa nssf naye asubiri miaka 60?
Mgodini wanafukuza na kuajiri kila siku,hao wachimbaji waliofukuzwa watapata lini mafao yao?
Je makampuni ya madini yana uwezekano wa kuendesha mgodi kwa miaka tajwa na nssf?
Kuna viongozi wanakuwa hawajui mazingira halisi ya wafanyakazi,na wakiendelea namsimamo wao ya RSA yatatokea TZ.
401K kule USA ukiamua hata leo unajitoa na kuchukua mafao yako ikiambatana na kodi ya asilimia 10 ya uliyochangia ww na mwajiri wako!Ukifikisha miaka 65(USA) HUKATWI kodi unachukua mafao yako yote!!
Kusema kuwa hamna mafao ya kujitoa duniani siyo kweli!!
Malafyale, mwenzio hizo nchi za duniani kote ametaja Kenya na Zanzibar, we unaenda Marekani kote huko kufanya nini?, nchi mbili tu zimewakilisha dunia na nchi zenyewe ni Zanzibar na Kenya basi! Halafu huyo nae ni Dr.!!? Mmmm!
Mkuu kumbe upumbavu umeanza kitambo ee?Hiyo DAU kasema ukweli na ndivyo ilivyo na inapaswa kuwa hivyo, subiri mpaka ustaafu