Hata zanzibar wanasheria zao,yani anakuja na utetezi kuwa wazungu wanatozwa na sisi tukubali kizembe tu, dr. Dau anakwama,atakuwa nesi muda si mrefu,mana uchambuzi wake niwaki puzi sana.
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.
Source: ITV Habari
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.
Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.
Source: ITV Habari
Pamoja na udokita wake "amezoea kukopi na kupaste" na anawaza kuwa JAMBO ZURI HALIWEZI KUANZIA TZ wala mambo au taratibu zilizopo haziwezi kurekebishwa na Tanzania.
Kweli "uchungu wa mwana aujua mzazi".
Ni kichekesho sana kwa wanasiasa wetu ama viongozi wetu wakihalalisha wanachokifanya eti kwa kuwa Kenya ama sijui nchi nyingine mboa wanafanya ama hawafanyi. Kwa hiyo Kenya wakihalalisha gays and lesbians basi kwa kuwa wao wamefanya bongo nao wafuate? Kenya na Z'bar wakiwa na maujinga yao basi na sisi bongo tufuate kisa wao wameamua hivyo? What a dumb-ass fracko nackobull!!!!!
Bila aibu anasema hata kama
mtu umeachishwa kazi ukiwa na miaka 25 basi tafuta kazi nyingine
vinginevyo subiri miaka 60
Katika watu wanaotia kichefuchefu ni huyu jamaa. Kwanza ameleta UDINI wa hari ya juu sana NSSF. Pili kwakuwa yeye tayari keshachuma pesa ya kutosha ndo maana Haoni umuhimu wa sisi kupata hivyo visenti vyetu. Laana ikae yake na
uzao wake wote. Amina
mbona hasemi kuwa Ulaya watu wasio na kazi wanalipwa Un employment Benefit mpaka wanapopata kazi huyu dingi kashalewa sifa za magamba
hii mkuu nimeipenda. Wasio na ajira bongo ama walioachishwa kazi nao walipwe unemployement benefits kwa kuwa nchi nyingine zinawalipambona hasemi kuwa Ulaya watu wasio na kazi wanalipwa Un employment Benefit mpaka wanapopata kazi huyu dingi kashalewa sifa za magamba
ukiachishwa kazi england unatoa taarifa na kuanza kulipwa fedha na serikali wakati ukitafuta kazi...mbona hii hawajaiga??????
Kama nchi nyingine hakuna fao la kujitoa basi nssf/ppf waweke pia unemployment benefit ambao lipo kwenye hizo nchi.............Ila liwepo au lisiwepo sie tunasubiri hyo october 30-november 4 wasipoileta hoja ndio watajua kama ilo fao nchi nyingine lipo au halipo.....
alichosema Dr. Dau ni kweli, ila kwa makusudi amesahau kuongelea MFUMO MZIMA wa kumlinda mfanyakazi ili aweze kuisubiri, kuifikia na KUIFAIDI pensheni yake. Mfumo uliopo sasa ni maigizo tu. Ushahidi upo wa kutosha.