huyu dau nawasiwasi sana na uwezo wake wa kufikiri,yaani anamawazo mgando,kwann kila ki2 tukop na kupest kwa watu,kwa nn na cc tusianzishe chetu watu watuige,kwa kweli huyu dau ni janga la kitaifa hafai kbs kuwa mfano wa kuigwa naungana na mzee msema kweli laani na iwe juu yake Mungu ampige na laana ya majipu yasiyopona kwenye makalio yake ili asiweze tena kukalia kiti cha dg wa NSSF labda atakaekuja badala yk atakuwa mzalendo.
Pesa ya kwangu na kwa jasho langu, kuchukua nipewe masharti?! Hii inawezekana kweli? Kama ni hivyo wanataka basi na iwe hiari kujiunga na hiyo mifuko ya jamii. Halafu sheria hii iwabane hata wabunge ili nao wakimaliza miaka yao mitano wasubiri hadi wafike miaka sitini (60) ndio wapewe mafao yao. Au labda wabunge wapo juu ya sheria na taratibu za nchi? Huu ni wizi wa wazi wa serikali ya ccm kwa raia wake. Believe me, ccm itaondoka kwa mizaha kama hii kwa wananchi masikini wasio na hatia.
Kwani life expectance ya Mtanzania kwa sasa ni miaka mingapi mpaka watake tusubiri hiyo miaka 55?
Pamoja na udokita wake "amezoea kukopi na kupaste" na anawaza kuwa JAMBO ZURI HALIWEZI KUANZIA TZ wala mambo au taratibu zilizopo haziwezi kurekebishwa na Tanzania.
Kweli "uchungu wa mwana aujua mzazi".
Nawashauri Serikali ya CCM watende kile wananchi wanachotaka
Hivi huyu ni dr. wapi kilaza mkubwa?kama amekopy na kupaste vitu kutoka ulaya kwa nini amekopy kuzuia fao la kujitoa akaacha la kulipwa mshahara na mahitaji mengine unapokuwa huna ajira???nyambaffffff tutawakaba mpaka watupe pesa yetu wallah!!