Hakuna haja ya Katiba Mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza

Joined
Mar 6, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.

Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
 
Kwa Chama pendwa inajitosheleza kwa sababu inaruhusu mianya ya kuiba kura.
 
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.

Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
Sasa kulikuwa kuna sababu gani ya kuendesha mchakato wa katiba mpya mwaka 2012!!
 
Wasalaaamu,
Ndugu watanzania wenzangu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya.Muungano wa Tanzania.

Katiba ya sasa binafsi naona iko safi tu. Naamini maneno ya mh Raisi alikuwa sahihi maana yeye anachanzo cha taarifa kutoka pande mbali mbali za nchi juu ya uelewa wa katiba mpya.

Ndio maana alisema kwanza itolewe elimu maana wengi wetu hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.Ila wanahitaji katiba mpya wengi wao ni wanasiasa na wanaharakati ila sisi wananchi wa kawaida wengi hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.

Nawathirisha natumia haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.

Asanteeee
 
Wewe kama huoni Sema hivyo usiwasemee na wengine tafadhali! Wengi wenu hamuoni madhaifu ya katiba ya sasa uliwauliza lini Hao wengi?

We kwa sasa tulia na ukae kimya. Siku yakikufika utaona madhaifu ya hii katiba.

Anyway, wahenga walisema chizi anachekesha kama hatoki kwenu. Kwa sasa we mcheke tu chizi wa stendi siku ndugu yako akiwa chizi utaona kama utamcheka
 
Iko safi haina shida kubwa kama inavyokuzwa
 
Wasalaaamu,
Ndugu watanzania wenzangu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya.Muungano wa Tanzania.

Katiba ya sasa binafsi naona iko safi tu. Naamini maneno ya mh Raisi alikuwa sahihi maana yeye anachanzo cha taarifa kutoka pande mbali mbali za nchi juu ya uelewa wa katiba mpya.

Ndio maana alisema kwanza itolewe elimu maana wengi wetu hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.Ila wanahitaji katiba mpya wengi wao ni wanasiasa na wanaharakati ila sisi wananchi wa kawaida wengi hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.

Nawathirisha natumia haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.

Asanteeee
na mimi nakuunga mkono katiba mpya ni hitaji la akina Mbowe

Kwetu sisi wananchi wa kawaida buku buku ziwe nyingi mtaani tuzikusanye kusanye per day 15k, sio mbaya

Buku buku haziletwi na katiba ingekuwa hivyo Kenya kusingekuwepo na zengwe maana katiba yao bado changa kabisa
 
Asanteeee mitano tena
 
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.

Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
Katiba iliyoko
 
Kulingana na mazingira in mhimu kuwepo katiba mpya ili kuondoa kasoro nyingi za kiutawala na mamlaka ambazo katiba tulionayo haina ufumbuzi na hizo hutumiwa isivyostahili na wenye mamlaka kama kivuli cha kutokukataa revolution change kulingana wakati uliopo.
 
Katiba mpya italeta kuwajibika zaidi kwa Viongozi kwa wananchi kuliko sasa.

Angalia nchi za wenzetu jirani barabara kama zote mijini na vijijini .

Tatizo na mfano Dar ni miundombinu na si Kwamba magari ni mengi.

Barabara zinapaswa kuwa 5 kwenda 5 kurudi.

Imeshindikana kujenga barabara ya Dar Chalinze kwa miaka zaidi ya 60 ya Uhuru?
Hivi mkoloni tulomdai Uhuru atatuchukuliaje sasa hivi ?

Matatizo chungu nzima 👌
 
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.

Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
Kama mawazo ya Watanzania ndio haya, basi vijana mna mchango mdogo sana kwa taia hili. Pamoja na mapungufu yote yaliyopo kwenye katiba bado unasema inafaa?
 
Tatizo la ujinga na unafiki ni kubwa kuliko linavyoweza kuelezewa bongo.
 
Back
Top Bottom