eldad Lichard Lembuye Tz
New Member
- Mar 6, 2024
- 1
- 2
Sasa kulikuwa kuna sababu gani ya kuendesha mchakato wa katiba mpya mwaka 2012!!Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.
Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
Iko safi haina shida kubwa kama inavyokuzwaWewe kama huoni Sema hivyo usiwasemee na wengine tafadhali! Wengi wenu hamuoni madhaifu ya katiba ya sasa uliwauliza lini Hao wengi?
We kwa sasa tulia na ukae kimya. Siku yakikufika utaona madhaifu ya hii katiba.
Anyway, wahenga walisema chizi anachekesha kama hatoki kwenu. Kwa sasa we mcheke tu chizi wa stendi siku ndugu yako akiwa chizi utaona kama utamcheka
na mimi nakuunga mkono katiba mpya ni hitaji la akina MboweWasalaaamu,
Ndugu watanzania wenzangu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya.Muungano wa Tanzania.
Katiba ya sasa binafsi naona iko safi tu. Naamini maneno ya mh Raisi alikuwa sahihi maana yeye anachanzo cha taarifa kutoka pande mbali mbali za nchi juu ya uelewa wa katiba mpya.
Ndio maana alisema kwanza itolewe elimu maana wengi wetu hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.Ila wanahitaji katiba mpya wengi wao ni wanasiasa na wanaharakati ila sisi wananchi wa kawaida wengi hatuoni madhaifu ya katiba ya sasa.
Nawathirisha natumia haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni.
Asanteeee
Asanteeee mitano tenana mimi nakuunga mkono katiba mpya ni hitaji la akina Mbowe
Kwetu sisi wananchi wa kawaida buku buku ziwe nyingi mtaani tuzikusanye kusanye per day 15k, sio mbaya
Buku buku haziletwi na katiba ingekuwa hivyo Kenya kusingekuwepo na zengwe maana katiba yao bado changa kabisa
Kila mwamba ngoma huvutia kwake
Katiba iliyokoKatiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.
Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.
Kama mawazo ya Watanzania ndio haya, basi vijana mna mchango mdogo sana kwa taia hili. Pamoja na mapungufu yote yaliyopo kwenye katiba bado unasema inafaa?Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza.
Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi bado hajatoa ajira.