Hakuna jambo gomu kama hili

stujadiliane

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
66
Reaction score
84
kwa mtazamo wangu hakuna jambo gumu na lenye kuumiza moyo hapa Duniani kama kuwa na swali ambalo hakuna anayeweza kukupa majibu yake au kuwa na tatizo ambalo hakuna anayeweza kulitatua au kudhulumiwa haki yako na asiwepo anayeweza kukupatia hiyo haki yako
 
Wewe Unajua Hilo Mimi Najua hili Mjinga huyu Mwerevu yule Hakuna Jipya Chini ya Jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…