Hakuna Jambo jipya chini ya jua aisee

Hakuna Jambo jipya chini ya jua aisee

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Mnaikumbuka hii kauli,ni nani aliyeitoa na ni lini?
"wanawake wa Tanzania uchumi mnao,mmeukalia[emoji16][emoji23] "
 
Kauli hii wanaume wa Dar watapinga hasa wa maeneo ya kinondoni na Magomeni kwamba hiyo kauli si ya wanawake pekee.
 
Kauli hii wanaume wa Dar watapinga hasa wamaeneo ya kinondoni na Magomeni huko kwamba hiyo kauli si ya wanawake pekee.
Sawa,ila nahitaji kujua tu nani aliitoa?siyo mnasemasema tu hapa eti haijawahi kutokea,hi nchi haijawahi kubadilika ni ile ile tu.
 
Buzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga
 
Back
Top Bottom