starlightz
Member
- Nov 2, 2021
- 44
- 116
Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote uliyonayo sasa majibu yake yako kwenye vitabu, hivyo jaribu kuwa rafiki wa vitabu ujionee maajabu.