starlightz
Member
- Nov 2, 2021
- 44
- 116
Iphone, TV, magari, ndege na kila aina ya teknolojia ilikuwepo enzi hizo, tena teknolojia ya kipindi hicho ilikuwa kubwa sana kuliko hata kipindi hiki.Iphone ni mpya ndugu yangu. Tafuta kwenye hivo vitabu vyako kama utaiona
Tupe ushahidi mkuu...!Iphone, TV, magari, ndege na kila aina ya teknolojia ilikuwepo enzi hizo, tena teknolojia ya kipindi hicho ilikuwa kubwa sana kuliko hata kipindi hiki.
Bara la ANTAKTIKA lilikuwa na baadhi ya ya vitu vifananiavyo na simu, TV, n.k ndipo baada ya kufanyia utafiti waliweza kutengeneza vifananiavyo na hivyo na kuboresha vingine.
Soma kitabu cha Encyclopedia upate maarifa zaidi Chifu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimekwambia kasome Encyclopedia upate maarifa Chifu, nimeshakutafunia mnofu mzima kazi kwako tu kumeza.Tupe ushahidi mkuu...!
๐๐๐ฉ๐ ๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฎ๐ก๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฏ๐ข๐ญ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ ๐ง๐๐ฃ๐ข๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ก๐ข๐ฏ๐ข ๐ก๐๐จ ๐ฐ๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐ณ๐ข ๐๐ฎ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฆ๐ฉ๐๐ค๐ ๐ฅ๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐จ๐ซ๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ ๐ณ๐๐จ ๐ฃ๐ ๐ฐ๐๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฆ๐๐ข๐ง๐ฎ ๐ณ๐ข๐ฉ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฆ๐๐ซ๐ฎ๐๐ข๐จ ๐ญ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐๐จ?Sayansi ama technology ya sasa naona inatuficha vitu vingi pia inatufanya kua na interest ya vitu ambavyo ni miner kuliko vitu muhimu, ukifuatilia sayansi na technology za zamani nyingi ni advanced kiasi kwamba hata hawa wanasayansi na technology tunao waona advanced wenyewe wanashangaa kua iliwezekana vipi ilihali hata wapo pamoja na maendeleo yote bado wana shindwa kung'amua codes ndogondogo
Imagin na marudio yenyewe mengine yanawapiga chenga! Kwanza ni machache ambayo wameweza kuyaelewa na kuya develop mengenine wamevumbua kwa kufuata procedure zilezile, mengi bado ni mystries mbali na kuelewa kua vina maana gani ila vingine hawavielewi kabisaa wanasubiri muda pengine kuna dots zinaweza kuja kutokea zikawapeleka kwenye vumbuzi hiz. Mengi ni maboresho tu ya yaleyale ya zamani๐๐๐ฉ๐ ๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฎ๐ก๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฏ๐ข๐ญ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ ๐ง๐๐ฃ๐ข๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ก๐ข๐ฏ๐ข ๐ก๐๐จ ๐ฐ๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐ณ๐ข ๐๐ฎ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฆ๐ฉ๐๐ค๐ ๐ฅ๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐จ๐ซ๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ ๐ณ๐๐จ ๐ฃ๐ ๐ฐ๐๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฆ๐๐ข๐ง๐ฎ ๐ณ๐ข๐ฉ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฆ๐๐ซ๐ฎ๐๐ข๐จ ๐ญ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐๐จ?
Sent using Jamii Forums mobile app
๐พ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐.๐ฐ๐๐๐๐๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ .๐ฏ๐๐ ๐ฌ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐๐, ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐๐๐๐ ๐๐ ๐.๐.๐ป๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐.๐ป๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐?Imagin na marudio yenyewe mengine yanawapiga chenga! Kwanza ni machache ambayo wameweza kuyaelewa na kuya develop mengenine wamevumbua kwa kufuata procedure zilezile, mengi bado ni mystries mbali na kuelewa kua vina maana gani ila vingine hawavielewi kabisaa wanasubiri muda pengine kuna dots zinaweza kuja kutokea zikawapeleka kwenye vumbuzi hiz. Mengi ni maboresho tu ya yaleyale ya zamani
Kwanza kabisa system zetu za elimu hazitu shawishi kupenda kusoma yana wameifanya shule kua kama kituo cha polise ni mwendo wa kukariri tu si lazima uelewa! Jibu lazima liwe lile lile alilo kumezesha mwalimu na sio ulivyo elewa yaani wewe hata kama huelewi we kariri tu, mwisho wasiku unatoka na cheti huku hujui ukakifanyie nini! Na vitu vingi vipo written na asilimia kubwa atupendi kusoma ndipo tunapo pishana navyo! Mtoto wa miaka 20 kwao si ajabu unamkuta na mastarz au PHD na ni mkurugenzi ambapo level hiyo ss kwetu inakukuta kipara kisha ota una watoto wa5 una madeni benki, umepanga na unakesi mbili za uhujumu uchumi!๐พ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐.๐ฐ๐๐๐๐๐๐ ๐จ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ .๐ฏ๐๐ ๐ฌ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐๐, ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐๐๐๐ ๐๐ ๐.๐.๐ป๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐.๐ป๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐?
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐ง๐๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐ง๐จKwanza kabisa system zetu za elimu hazitu shawishi kupenda kusoma yana wameifanya shule kua kama kituo cha polise ni mwendo wa kukariri tu si lazima uelewa! Jibu lazima liwe lile lile alilo kumezesha mwalimu na sio ulivyo elewa yaani wewe hata kama huelewi we kariri tu, mwisho wasiku unatoka na cheti huku hujui ukakifanyie nini! Na vitu vingi vipo written na asilimia kubwa atupendi kusoma ndipo tunapo pishana navyo! Mtoto wa miaka 20 kwao si ajabu unamkuta na mastarz au PHD na ni mkurugenzi ambapo level hiyo ss kwetu inakukuta kipara kisha ota una watoto wa5 una madeni benki, umepanga na unakesi mbili za uhujumu uchumi!
Unakuta mtu anauwezo wa kutengeneza silaha unaenda kumficha badala ya kumuendeleza, mtu ana utaalam wa milipuko unaenda kumficha, watu walisha tengeneza mpaka helcopter wapo tu wanakunywa pombe chafu, redio stations wapo wengi, umeme wa upepo wapo kibao lakini hawaruhusiwi kuusambaza hata kwenye kibanda anacholala afaidi ujuzi wake, hizi bombe viwanda bubu kibao, sigara watu wanazifyatulia sebuleni, basi kila mtu anakufa na utamu wake
Hatari