Hakuna jipya chini ya jua

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Kabla ya CHIEF GODLOVE Kutamba Mitandaoni Kulikuwa na Mwamba Mmoja Aitwaje BILLIONAIRE SHILLAH (Nadhani Huyu Hata Watoto wa Elfu 2 Wanamjua), Huyo SHILLAH Alituaminisha kwamba Yeye ni Miongoni mwa Vijana Matajiri Zaidi hapa Tanzania.

SHILLAH Alitembea na Misafara ya Magari Barabarani, Aligawa Pesa Kama "Njugu", Huku Akiwahimiza Vijana Wafate Mfano Wake Jinsi Anavyoishi Maisha ya Kifahari Angali Bado Kijana Mdogo Kabisa.

Hata Hivyo SHILLAH Alikumbwa na Tuhuma Mbalimbali za Utapeli Lakini Alizikanusha na Kusema Kwamba Yeye ni Mtumishi wa MUNGU na Hizo ni Hila tu za Watu Wanaomuonea "Donge".

Lakini Cha Kushangaza SHILLAH Alipotea Ghafla Kwenye Ramani na Mpaka Sasa Hatujui Yuko Wapi na Anafanyanini Ukizingatia Ilikuwa Sio Kawaida yake Kukaa Kimya Hata Siku Mbili Bila Kutrend Mitandaoni.

N:B "HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA, KILA LINALOFANΥΙΚΑ LEO LILISHAFANYWA HUKO NYUMA" Ni Vile tu Watu Wanasahau Mapema.
 
Shillah tapeli sana yani shillah msanii kinoma anajifanya eti anauza cryptos.
Jamaa ana njaa sana. Eti kuna dogo alikuwa anasali kwake, akasikia kapata kazi mkoa. Siku moja anampgia simu kuqa eti Mungu kamwotesha ampatie huyo dogo gari ya alphard.
Hivyo dogo atume ela ya mafuta na dereva wa kuimpelekea mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…