Hakuna jipya kwenye jezi mpya za simba tizama hapa

Hakuna jipya kwenye jezi mpya za simba tizama hapa

bashri

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
46
Reaction score
75
Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro .
Na leo wametutambulishia kuwa ni uzi mpya wa simba ajabu kweli

Screenshot_20210904-004056.png

download.jpeg

download (1).jpeg
 
Wanatafuta kuequalize na mijezi yao yenye misukule ila hawawezi. Jezi lao la misukule watakua nalo kwa mwaka mzima na Bado itafikia sehemu wataona aibu wenyewe kuyavaa.
Vunjabei kaweka kitu sio mchezo.
 
Utopolo wako bize na jezi...

Mnyama haangalii jezi ikoje, anaangalia matokeo uwanjani...

Na uzuri na Jezi yenyewe inauzika hasa,nimetuma kijana aende Vunjabei Sinza kuchukua ile nyeupe Polo na ya kawaida na Dark blue amekosa,akaenda K.Koo kwa Sunderland,akachemka.Anasema wanaochukua kwa jumla ni wengi mno,hadi wameamua kuwahudumia kwanza hao.Pale Sinza wamesema leo zitapatikana tena.
 
Wanatafuta kuequalize na mijezi yao yenye misukule ila hawawezi. Jezi lao la misukule watakua nalo kwa mwaka mzima na Bado itafikia sehemu wataona aibu wenyewe kuyavaa.
Vunjabei kaweka kitu sio mchezo.

Mtoto wa Kikinga kawakalisha GSM na chawa wao Hersi.Nacheka sana Manara amekosa kabisa cha kukosoa kabaki anatupia madongo ambayo wanaocomment wanamrudishia hadi anafuta post.

Kuna post katupia dongo eti zikifuliwa zinanata,watu wanamwambia kumbe umenunua umeshavaa hadi ikachafuka ukafua.Acha povu limtoke[emoji3][emoji3]
 
Na uzuri na Jezi yenyewe inauzika hasa,nimetuma kijana aende Vunjabei Sinza kuchukua ile nyeupe Polo na ya kawaida na Dark blue amekosa,akaenda K.Koo kwa Sunderland,akachemka.Anasema wanaochukua kwa jumla ni wengi mno,hadi wameamua kuwahudumia kwanza hao.Pale Sinza wamesema leo zitapatikana tena.
Simba ni litimu likubwa sana
 
Back
Top Bottom