Hakuna jipya kwenye mapenzi...

Hakuna jipya kwenye mapenzi...

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
mada zinarudiwa rudiwa...visa vinafanana...visa vya kizushi zushi...uongo ambao hata kwa kupapasa tu unajua hamna kitu hapa!...kiufupi sioni jipya!


ombi langu:watu wenye mambo ya ukweli...na visa vya kujenga au hata kuburudisha wajipange watuletee humu na sio unafanya mapenzi na demu wako jana...ukiamka asubuhi unaweka kama post humu...mpsxxxx!
 
Hili uliloandika wewe ndio JIPYA?
JIPANGE!!!
 
jamvini ni lakawaida ila mawazoni kwake ndio jipya..

afu mnajikutaga nyie ndio jeieeefu kiivyo...acheni shombo watoto wakike!...mkipewa visifa basi mikichwa hihaa!..mpe salam na mwenzio LIZZY...sio ishu!
 
ulishawahi kuiona?acha kukurupuka!...

Ilishasemwa sana. . .
Jifunze kupitia mada zilizopitwa kabla hujakurupuka, au uache na wenzio nao warudie zao kwa raha zao.
 
Ilishasemwa sana. . .
Jifunze kupitia mada zilizopitwa kabla hujakurupuka, au uache na wenzio nao warudie zao kwa raha zao.

nishakusoma ww!...unachosema wewe ndio sahihi...unapenda sifa mtoto wa kike eeeh!..
 
hata kwenye mapenzi tunataka breaking nyuzi???
Siasa je?
 
Mkuu Bagah leo mbona jazba. Kumbuka ni Gud friday punguza hasira. Af'mida ya church ndo hyo..
 
Mkuu Bagah leo mbona jazba. Kumbuka ni Gud friday punguza hasira. Af'mida ya church ndo hyo..

asante swahiba!...nimeacha!!...nisamehe buree!
 
tunakuja baada ya Easter..
sasa hivi hata nianzisha mada ni ngumu kufuatilia
so haina haja ya kuanzisha kitu na kuacha hewani..
 
Back
Top Bottom