Hakuna jkt awamu ya tatu sasa mpaka 2016

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.
 
mnataka source? Vuteni subira punde si punde wataweka kwenye tovuti yao, pia kesho tazameni runinga zenu na sikilizeni redio zenu.
 
Kijana naomba ka+nye ukalale..ndio wale wale wa

matusi ya nini? Kukaa kimya umeshindwa?! Nshawahi kupost habari ya uongo? Nshawahi kutukana mtu? Basi umeniudhi sana, ngoja nianze kutukana kwa kukutukana wewe 'PUMBAAAVUUU'
 
matusi ya nini? Kukaa kimya umeshindwa?! Nshawahi kupost habari ya uongo? Nshawahi kutukana mtu? Basi umeniudhi sana, ngoja nianze kutukana kwa kukutukana wewe 'PUMBAAAVUUU'

ha ha mkuu bana tusi lako la kitutsi la ukweli!anyway Ngoja tuone kesho jkt watasema nini
 
kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.

kama zilikuwepo tangu mwz wa saba mbona hatukuyaona majina?
 
Ukianzisha sredi anza na utangulizi,main body na conclusion wewe umeweka conclusion.
 
kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.

Hii inaweza kuwa kweli, achana na wajinga wanaokurupuka na kutukana, Logically i see the truth in your post, Yaani kama mtu akifuatilia kwa makini atagundua chuo ni kama kawaida, Kwanza wale wabishi kama SAUT ambao wamefungua na wanajua watu bado wapo jkt, unadhani watakubali kufunga chuo.. Pia vyuo vingine kama Udsm vinachukua wanafunzi wengi kutoka nchi za njee na sio tu form six, how will they stop them due to a small reason of going jkt
 
Mwana,yaani we ni GREATER THINKER.Chuo ni kama kawa october.Pia inasemekana hata zamani wakati JKT haijafutwa ratiba za vyuo zilikuwa zinaendelea kama kawaida na JKT kama kawaida,so wale waliokuwa wakipata post za chuo walikuwa wakikatiza mafunzo ya JKT na kuripoti vyuoni.
 
Umeona, hamna kitu kama hicho si tarehe 12 kama kawaida tunaenda zetu chuo, sasa hayo mengine ni ya kwao.. Kama wataleta haya mambo yao, inabidi wote waliochaguliwa wasiendee tuone itakuwaje..
 
Wataenda wa udom,Tia na vijikoleji msheeenzi cye wa udsm,sua,mzumbe,muhas wa2ache 2fanye ye2 2jekulitafuna vyema hili taifa la wadanganyka.. Ila na Vilaza wa Duce na Muce waende 2...nimemalizaa yaaani ctaki kubshana yaani Udsm tisha sana yaani.
 
kumbe wa udsm wengine hawajui kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…