Hakuna kabila Malaya Tanzania

Umalaya ni wa mtu binafsi na siyo kabila. Pia, umalaya siyo wa jinsia ya kike tu bali hata jinsia zote. Tena wanaume wanaweza wakaongoza kwa umalaya, maana wengine hugeuzwa kuwa wanawake, kama huo siyo umalaya wa kupita kiasin ni nini.
 
Hali inatisha ,ukienda page moja maarufu ya Hello Tanzania mada zake 99% ngono halafu mademu wanaocomment humo ukicheck comments zao yaani hatari hadi unajiuliza hivi huyu yupo sawa kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…