Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Wanamuita goli mashine, asipofunga mechi tatu wataanza kumpofoa. Hawanaga subra waleNgoja wafuasi wa Moses Phiri, na ambao kwa sasa wapo kwa mkopo kwa Baleke; waje wakupinge.
Hii ni kawaida ya wabongo sio simba sio yanga wa tanzania sisi fanya vizuri usifiwe ukiharibu kidogo tu umeisha unatupiliwa mbaliiiWanamuita goli mashine, asipofunga mechi tatu wataanza kumpofoa. Hawanaga subra wale
Kwaio mayele amesha vunja rekodi zote za yanga?🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani
Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
View attachment 2583328
Baleke is goal machineNgoja wafuasi wa Moses Phiri, na ambao kwa sasa wapo kwa mkopo kwa Baleke; waje wakupinge.
Ana misimu mingapi pale Yanga?
Mechi 35 tu?
Timu zipo ngapi ligi kuu?
Msimu mmoja una mechi ngapi?
Ana misimu mingapi pale Yanga sasa? Mechi 35 ni chache mno kama kakaa zaidi ya msimu mmoja!Hajasema mechi za msimu wa ligi. Hapo anamaanisha mpk mechi zingine
Hawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI[emoji599]HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani
Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
View attachment 2583328
Past tense...kwasasa gumzo la nchi ni Baleke🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani
Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
View attachment 2583328
Msimu huu kacheza 36 mpaka sasa......Hawa waandika record waache uongo jamani, mkiwa manokoteza virecord huko muwe mnatumikisha Kwanza Akili kabla ya kuokota tu mbio mbio mwisho wa siku unaonekana KIAZI
wote tunajua kuwa mayele ni mchezaji mzuri sana na anafunga sana tu ila hakuna haja ya kupika Data za uongo uongo ili tu tuzidi kumpaisha, anachofanya bado ni kizuri bila ata uongo
Msimu uliopita ambao mayele alikuwa mfugaji Bora namba 2 katika ligi kuu bara, alikuwa na Goli 16 katika mechi 30, je msimu huu kacheza mechi ngapi hadi hivi sasa kwenye ligi Kuu Peke yake tupo mechi ya 24?
Sasa iweje leo iwe kacheza mechi 35? Let's say mwaka jana kwenye ligi Peke yake amecheza mechi 30, bado michuano ya kimataifa na ya ndani
msimu huu tufanye kacheza mechi 15 japokuwa amecheza zaidi ya hizo, hayq jumlisha mechi za CAF champions League,CAF confederation cup,Azam confederation cup
View attachment 2583479
Na kibu vipi takwimu zakeBaleke mmoja sawa na Mayele, Musonda na Aziz Ki kama kifungashio
Weka weweNa kibu vipi takwimu zake
Sasa si Bora ata ingekuwa ni kweli mkuu, Record za kubumba bumba tu ilimradi waendelee kumpambaPast tense...kwasasa gumzo la nchi ni Baleke