Hakuna Kama Omog katika msimu huu wa ligi kuu bara

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Wakati jukwaa likipiga keleke Omog amtoe Boko badala ya kichuya, Sir Omog alifanya maamuzi sahihi zaidi ya kimbinu. Aliacha washambulizi wawili ili kuua mchezo na Boko akatupia la tatu. Halafu mswahili mmoja anajiona yeye anajua kuliko Omog.

Napata shida sana na uchambuzi wetu siku hizi, tuache taaluma zifanye kazi. Game tisa mfululizo bila kuruhusu wavu kuguswa. Kiufupi Simba haijafungwa hata goli la offside hapa Tanzania this season. Najua pia wajua kuwa katika game tatu za ligi tumefunga goli kumi ni zaidi ya magoli yote ya Azam, Mtibwa na Yanga kwa jumla wakiwa wamefunga magoli tisa.

Kifupi idadi ya magoli ya Okwi ni zaidi ya magoli yote ya Yanga na Azam. Game zote Simba walizocheza katika ligi na ile ya ngao ya hisani imeongoza kwa umiliki wa mpira, halaf mtu unahoji uwezo wa Omog!

Sorry kwa data na hizo facts, ila haziepukiki.
 
Simba kama kawaida yenu mnaanzaga kwa mbwembwe, pumzi ikianza kukata tunaanza kupoteanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jackson mayanja yupo vizuri kuliko omog ki taaluma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…