kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza kama walivyotangaza kuwa Deif keshauawa hizo ni propaganda tu
Pia hakuna kamanda wa Iran alouawa Syria hizo ni propaganda za vyombo vya habari vya Israel
Pia jiji la Haifa wametangaza marufuku kwa raia kupiga picha ya uharibifu wowote utakaotokana na mashambulizi ya Iran ili waweze kutudanganya tena kuwa ni 99.9 intercepted wazee wa kuficha madhara