Hakuna kampuni ya Tanzania hata moja ndani ya makampuni 2,000 bora duniani

Oil or gold doesn't run those companies, you've dancing capitalism tune for 50 years yet only "SimCard" company hold your head above the water.
My friend safaricom's profits are twice the profit of Tanzanias top 40 companies... Explain that
 
Endeleeni kushika nafasi ya ldc
 
Tatizo la hao akina Azam hawataki list biashara zao DSE,yaani siku Bakhresa akitangaza kuuza share zake im sure kutakua na more than 1000% oversubscription.
Unless there are shady dealings that they don't want discovered.
 
tz hakuna ufisadi ama unamaanishaje haswa?
 
C
Congratulations to SAFARICOM and KENYA at large.
 
Hongereni.
Hata tukipewa miaka 30 hatuwezi chini ya magu
tz hakuna ufisadi ama unamaanishaje haswa?
Mkuu Tanzania ya leo ina UFISADI wa hali ya juu haijapata kutokea..
Mpaka sasa serikali haijasema 1.5Tril ambayo haionekani imetumika vipi kwenye mahesabu ya CAG..
Worse enough hili la kupotea kwa 1.5Tril wameshalizima na hawaliongei tena kwa sababu jamaa anaweza akamtandika mtu risasi.
 
KCB profit equals the said top 40 companies ...give another excuse
Useless mentioning KCB if it didn't make the cut on the list, you keep mentioning "imaginary" 40 Tanzanian companies, I bet you can't list 10 of them. BTW how do you know Tanzanian companies financial status if they're not public listed? uwongo hanunuwi ugali.
 
Samusungi na maikrosofuti hawapo topu teni???????? toyota na marambugini je??? ma benzi na maudi na mafordi na mavodafoni....????? amazoni na ebay....??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…