Hakuna kampuni ya Tanzania hata moja ndani ya makampuni 2,000 bora duniani

US 560 companies
China 291
Tanzania 0 hii dunia bado kuna shida uku Africa
matokeo ya kwani nilazima kujua kiingereza sasa soko la kimataifa unaanzaje kuingia...
 
matokeo ya kwani nilazima kujua kiingereza sasa soko la kimataifa unaanzaje kuingia...
kiingereza kina nafasi ndogo sana katika hilo swala,wewe unajua wachina wanatumia lugha gani???tunajifunza kiingereza sababu tunahitaji vingi kwao kuliko wanavyohitaji kwetu.tukiondoa huo utegemezi na kujiamini wenyewe kila kitu kitakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…