Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka kuamini muulize Mtu yoyote umetumia Kifungu gani kugomea mechi, hakipo.

Kanuni iliyotumika hapo inaitwa UTU UZIMA DAWA,hapa SIMBA anajua anachokifanya tena vizuri mno kete imesukumwa, sasa TFF na BODI rasmi wamewekwa mtegoni endapo mechi italazimika kusogezwa mbele YANGA watauliza ni kwa mujibu kwa kifungu kipi? Endapo Yanga atagoma kucheza mechi iliyosogezwa mbele utamhukumu kwa kifungu kipi? Hapo ndipo utata ulipo leo hii Wanangu.

Sasa kuna Watu wanakumbushia ile Yanga aliyogomea mechi ya 2021 ile Kikanuni huwezi kumwadhibu Yanga kwakuwa mabadiliko ya muda wa mchezo ama venue yana muda wake maalum kuwasilishwa kwa Klabu zinazohusika na mchezo, hivyo ila Kikanuni Yanga walikuwa sahihi walitimiza takwa la kufika kisha kuondoka baada ya muda sahihi wa kuwepo uwanjani, ila hii ya leo ngumu kwa Simba, TFF na Bodi, Yanga yupo pembeni anausoma mchezo.

Kesi ishakuwa ngumu hii, Shahidi analetwa Kituoni na escort ya Polisi, ishakuwa ngumu, SIMBA atawakumbusha kuwa mnakumbuka huyu aligomea mechi na tukakubali kurudiana? Ndio kete iliyosukumwa hapo, Simba ana historia ya Utii huku Yanga ana historia ya kufuata kanuni😀

Credit😡farhan
IMG_2837.jpeg
 
Nimecheki taarifa ya bodi ya ligi, wamesisitiza timu zote kushiriki mchezo husika huku ikiahidi kuchunguza na kutoa adhabu kwa yale yanayodaiwa kutokea jana.

Its fair enough, nadhani kwa kuzingatia gharama zilizotumika kwaajili ya maandalizi ya mchezo huu kwa pande zote mbili, warusha matangazo na hata mashabiki zao, klabu yetu ya simba ingeendeleza uungwana na kuingiza timu uwanjani tu.
 
Acha wasuse wapigwe fine ya M3 na kunyang'anywa point zote 3
Hakuna tako yeyote anaweza kufanya hivi. Kama yupo tunataka kumuona leo. Mimi namfahamu meneja wa Uwanja, uzuri niliwahi kufanya kazi hiyo Wizara yeye ni Yanga lialia. Sasa kama wanataka viwanja vyao vichezewe na timu kutoka nje walete ufala waone.
 
View attachment 3263416
Lakini unajuwa ni kitu gani huwa kinapelekea tim mgeni kuruhusiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi husika?
 
Anaitwa nani uyo meneja wa uwanja?
 
Nimecheki taarifa ya bodi ya ligi, wamesisitiza timu zote kushiriki mchezo husika huku ikiahidi kuchunguza na kutoa adhabu kwa yale yanayodaiwa kutokea jana.

Its fair enough, nadhani kwa kuzingatia gharama zilizotumika kwaajili ya maandalizi ya mchezo huu kwa pande zote mbili, warusha matangazo na hata mashabiki zao, klabu yetu ya simba ingeendeleza uungwana na kuingiza timu uwanjani tu.
Adhabu inatakiwa itolewe kwanza ndiyo tucheze mechi, hawa umbwa adhabu zao ukiziangalia sana zimekaa kimapato. Anapigwa faini ya hela aliyekosea, pesa anachukua TFF na bodi ya ligi. Ufike wakati sasa adhabu ziwe ziaathiri matokeo ya timu inayotenda kosa kwenye matokeo ya kimpira. Sio watu kuchukua hela halafu waseme wanatoa adhabu. Adhabu zenyewe hizi za laki tano na milioni moja. Ni mara ngapi Yanga wameingia viwanjani kupitia mageti yasiyo rasmi na bado wanarudia. Hii ni kwa sababu wanajua adhabu watakayopewa ni kulipa faini of which kwao siyo issue. Kungekuwa na kanuni kwamba wakifanya hivi wanapokwa pointi za mchezo husika wasingekuwa wanafanya upuuzi kila siku.
 
Umeliweka vizuri sana, nilikuwa natafuta kama kuna kanuni yoyote inaibeba simba kwa kutopeleka timu uwanjani
 
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka kuamini muulize Mtu yoyote umetumia Kifungu gani kugomea mechi, hakipo.

Kanuni iliyotumika hapo inaitwa UTU UZIMA DAWA,hapa SIMBA anajua anachokifanya tena vizuri mno kete imesukumwa, sasa TFF na BODI rasmi wamewekwa mtegoni endapo mechi italazimika kusogezwa mbele YANGA watauliza ni kwa mujibu kwa kifungu kipi? Endapo Yanga atagoma kucheza mechi iliyosogezwa mbele utamhukumu kwa kifungu kipi? Hapo ndipo utata ulipo leo hii Wanangu.

Sasa kuna Watu wanakumbushia ile Yanga aliyogomea mechi ya 2021 ile Kikanuni huwezi kumwadhibu Yanga kwakuwa mabadiliko ya muda wa mchezo ama venue yana muda wake maalum kuwasilishwa kwa Klabu zinazohusika na mchezo, hivyo ila Kikanuni Yanga walikuwa sahihi walitimiza takwa la kufika kisha kuondoka baada ya muda sahihi wa kuwepo uwanjani, ila hii ya leo ngumu kwa Simba, TFF na Bodi, Yanga yupo pembeni anausoma mchezo.

Kesi ishakuwa ngumu hii, Shahidi analetwa Kituoni na escort ya Polisi, ishakuwa ngumu, SIMBA atawakumbusha kuwa mnakumbuka huyu aligomea mechi na tukakubali kurudiana? Ndio kete iliyosukumwa hapo, Simba ana historia ya Utii huku Yanga ana historia ya kufuata kanuni😀

Credit😡farhan
View attachment 3263416
Kesi siyo ngumu, hapo ni TFF kufuata kanuni tu ndo suluhisho

Simba wasipopeleka timu bac Yanga apewe point 3 na goli 3 baaas

Lakini wakianza kwenda kinyume na kanuni ndo wanaharibu zaidi
 
Hakuna tako yeyote anaweza kufanya hivi. Kama yupo tunataka kumuona leo. Mimi namfahamu meneja wa Uwanja, uzuri niliwahi kufanya kazi hiyo Wizara yeye ni Yanga lialia. Sasa kama wanataka viwanja vyao vichezewe na timu kutoka nje walete ufala waone.
Mimi mwenyewe na mfahamu meneja wa Uwanja ni Kolo FC wakugalagala.

Ila hamkumpa taarifa na kumbuka yule muajiliwa wa serikali,mda ule sio mda wake wa kazi na taarifa hakupewa.Akajua nyie hamtokuja kwani hata round ya kwanza mliwazuia Yanga kutumia uwanja kabla ya mechi na hawakususia mchezo.
JamiiForums-777753140.jpg
 
Lakini unajuwa ni kitu gani huwa kinapelekea tim mgeni kuruhusiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi husika?
Nafikiri sababu kubwa ni kuwawezesha kuuzoea uwanja ili muda wa mechi waondokane na ile presha ya ugeni. Sababu ambayo sioni kama ina nguvu sana kwa upande wa simba maana huo uwanja sio mgeni kwao. Wapeleke timu uwanjani na malalamiko yao wapeleke kwenye mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom