Hakuna kazi ngumu kama kuwapigania Watanzania

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Watanzania Watanzania Watanzania. Nimewaita mara ngapi ?

Hivi tunashindwa wapi kuingia barabarani kuwaondoa hawa madhalimu. Embu kama tarehe 29 mwezi wa 10 unaingia barabaran kudai haki comment NO REFORM NO ELECTION

Police watapiga wangapi tukiingia watu elfu 10 tu njiani
 
No reform no election
Tutakuwepo👈👉
 

Fikra za WaTanganyika zipo kifungoni! Kwao mkate ni bora kuliko ufunguo wa kuwaweka huru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…