...,ha ha ha, miaka ile ya 47 tulikuwa tunaimba ♫ ♫ baaaba huyooo, baaaba huyoo...katoka kazini! ♫♫ sijui kizazi kipya watamuimbiaje baba huyu! Anaelekea anajua kulisakata rhumba, nice foto!
Mzee yuko kazini; yumo katika orodha ya watu waliotengenezewa ajira awamu hii yaani ni mmoja kati ya zile milloni zilizoainishwa kwenye ilani ya chama tawala!!