Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,959 Reaction score 24,935 Nov 13, 2018 Thread starter #41 Archduke said: ahahahahahahaha jana yamenikuta haya nimekaa kalio moja takribani saa moja na nusu karibu 60km approximate Click to expand... Pole sana mkuu ulijisikiaje?
Archduke said: ahahahahahahaha jana yamenikuta haya nimekaa kalio moja takribani saa moja na nusu karibu 60km approximate Click to expand... Pole sana mkuu ulijisikiaje?
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,959 Reaction score 24,935 Nov 13, 2018 Thread starter #42 amatolo said: Kibaya zaidi ukae pembeni karibu na sehemu ya uwazi, unaishia kukalia incha/pembe ya tako 1 Click to expand... Aah aah mkuu hawa viumbe ni noma
amatolo said: Kibaya zaidi ukae pembeni karibu na sehemu ya uwazi, unaishia kukalia incha/pembe ya tako 1 Click to expand... Aah aah mkuu hawa viumbe ni noma
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,165 Reaction score 16,791 Nov 13, 2018 #43 Zero IQ said: Pole sana mkuu ulijisikiaje? Click to expand... ushawahi kupatwa na ganzi ya tako mkuu?? basi jana nilixperience hiyo kitu kusimama nataka ubaya nimechoka sikuwa na namna, sijui ingekuaje kama ingekuwa safari ya mkoani
Zero IQ said: Pole sana mkuu ulijisikiaje? Click to expand... ushawahi kupatwa na ganzi ya tako mkuu?? basi jana nilixperience hiyo kitu kusimama nataka ubaya nimechoka sikuwa na namna, sijui ingekuaje kama ingekuwa safari ya mkoani
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,570 Reaction score 10,517 Nov 13, 2018 #44 Hahaaaa..... Zero IQ again
amatolo JF-Expert Member Joined Jul 24, 2017 Posts 690 Reaction score 712 Nov 13, 2018 #45 Zero IQ said: Aah aah mkuu hawa viumbe ni noma Click to expand... M huwa nawachia siti, najifanya nimempisha old man kumbe nimekwepa balaa. Ukinyenyuka ukaacha siti wazi bila replacement anaweza hisi unyanyapaa.
Zero IQ said: Aah aah mkuu hawa viumbe ni noma Click to expand... M huwa nawachia siti, najifanya nimempisha old man kumbe nimekwepa balaa. Ukinyenyuka ukaacha siti wazi bila replacement anaweza hisi unyanyapaa.