Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hayo ni maoni yangu binafsi wadau kulingana na uzoefu wangu
Ukitaka akili iburudike basi
pata mchemsho wa kahawa ya kienyeji na maziwa fresh
Ni kinywaji kitamu hata harufu yake wakati kinaandaliwa ni burudani tosha
Unashauriwa kuweka vijiko vidogo vya sukari 2 tu na sio zaidi
Wadau karibuni