wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Dawa za ARV zimekuwa na msaada mkubwa sana kuzuia maambukizi pale waathirika wanapokutana kimwili na ambao hawajaathirika.
Imefikia kipindi mtu anaweza kutembea peku na idadi kubwa lakini akipima kasalimika, mshukuru sana hizo ARV.
Baada ya misaada kusitishwa nchi za Afrika nyingi zipo katika hali mbaya kwasababu hakukuwa na mipango ya kuja kujitegemea, misaada inaonekana kama ni haki, viongozi wamehamisha lawama kwa Trump bila kuwa na chembe ya aibu kwa nchi zao kusaidiwa misaada mingi miaka mingi ila hadi leo tunategemea dawa.
So kinachoenda kutokea kukiwa hakuna upatikanaji rahisi wa dawa za ARV, kinga za waathirika zitashuka na wakikutana kimwili na wenzao ambao hawajaarhirika kutakuwa na maambukizi.
Kwa hali hii tutegemee watu wengi zaidi kuungwa kwenye gridi
Tunaweza kurudi enzi za miaka ya 2000, waliokuwepo enzi hizo wanajua.