Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya.
Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria kidogo naanza kufikiria michezo michafu niliokuwa naicheza huko nyuma, nasema au ndio dalili za HIV zimesha anza kujitokeza.
Unajua kuna watu huwa wanajiona exemptional kwenye mambo fulani fulani, ikiwemo na kupata HIV, yaani mtu anaamini HIV ipo kwaajili ya watu wengine,,so hata akifanya michezo hatarishi hawezi kubali kwenda kupima kwa kuhofia
majibu atakayo pata.
Wengi wa kundi hilo unakuta ni vijana miaka 18-30 ,unakuta wanakuwa na ugumu wa kupokea matokeo maana katika umri huo unakuta wanacho cha kupoteza. Wengi unakuta hawajaoa/kuolewa, wengine wako chuo, wengine bado wako kwa wazazi wao.
Unakuta mtu hospital hawezi kwenda sababu ya hofu, unakuta amejichimbia youtube au google kusoma symptoms za HIV siku akipata kuugua kidogo hofu inazidi kuongezeka.
Hapa naandika simple tu lakini hii hali ikikupata utaishi kwa shida sana, vijana walioko hatarini ni wale wapenda bata, night club, chuo maana wanakutana na watu wa aina tofauti tofauti.
Kuna matukio ambayo nilikuwa nayafanya kimazoea ambayo mpaka kesho najuta...Kuna siku nilitoka na manzi club mida ya saa 9 usiku tukapitia guest nikamtuma muhudu cndom akasema zimeisha uvumilivu ukanishinda nikapiga kavu.
Kuna ile uko bize unapump punde unahisi condom imepasuka na ikipasuka maana utamu unakolea unaendelea kukata miuno hii ni hatari sana.
Pia kuna ile mtu amekunywa pombe kali kama konyagi halafu kwenye gemu anavaa condom anapump wee wazungu hawaji anaamua kuvua au kupasua kwa makusudi amalize mapema alale hii nayo ni hatari.
Pia kuna wale pisi kali yaani ukimtathiminisha unasema bora nifee hii napiga kavu. Utakuja kulia na kusaga meno...
Hitimisho kama unaona huna kifua cha kupokea hilo janga play safe ndugu usije ishi kama nungu nungu kwa hofu na mashaka.