Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

pole cute je umeweka malengo na je hapounapotafutia unafikiri ni mahali sahihi ~Michael The Great
 
Unamaanisha Nini Michael
umesema unatafuta usiku na mchana na sasa unaona giza tu haupati unachokitaka maswali muhimu nimekuuliza kwamba

  1. umeweka malengo cute ?
  2. je hapo unapotafutia unafikiri ni mahali sahihi?
 
umesema unatafuta usiku na mchana na sasa unaona giza tu haupati unachokitaka maswali muhimu nimekuuliza kwamba

  1. umeweka malengo cute ?
  2. je hapo unapotafutia unafikiri ni mahali sahihi?
Ndugu dinia hii sidhani Kama mtu Hana malengo, tatzo ni mambo hayaendi
 
bidii ni muhim lakn kutumia akili ni muhim zaid u have to be very smart usiogope kutake risk na pia usikate tamaa asume upo vitani unapambana ndo ilivyo unavyotafuta utajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni maneno ndgu ukiapply haya kwenye field hutoboi, nataka kuijua Siri ya matajiri nshafight Sana vya kutosha naamanisha Kama ni kutafta nimetafta kila kona ya nchi hii

Now nataka kujua walio na pesa Africa wanafanyaje
 
formula ni hiyo hiyo wew hufanikiwi na utachelewa kufanikiwa coz unatafuta kitu ambacho hakipo siri nyingi ni kumtanguliza Mungu na kusali sana pia kufanya kila kitu kwa kujiamini kwamba kitafanikiwa bila doubt utatoboa soon
Haya ni maneno ndgu ukiapply haya kwenye field hutoboi, nataka kuijua Siri ya matajiri nshafight Sana vya kutosha naamanisha Kama ni kutafta nimetafta kila kona ya nchi hii

Now nataka kujua walio na pesa Africa wanafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha basi tu ,kuna wakati unakuwa vzur nawakati mwingine unayumba hadi unahisi umelogwa ,unauza vitu na familia inayumba,unabaki na boxer tu.kikubwa ni kujipa moyo .ila maisha yana changamoto sana .unaweza ukajikuta umekuwa mlevi wa kupindukia usipokuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
athari za umaskini ( dhiki) ni chungu mithiri ya Moto wa jehenamu.
kumbe kuna watu mshauonja huo moto??
hongereni sanaa.

na kama unahisi hakuna kitu kibaya kama umasikini...jaribu ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…