Hakuna kitu kigumu duniani kama kusoma,

Hakuna kitu kigumu duniani kama kusoma,

Kusoma sio kazi, mbinde kipindi cha mitihani.
 
Kweli kabisa,jana nilikuwa nasoma hadithi ya Jogoo anayesema nilipata tabu kidogo kwasababu sikijui vizuri kiswahili.
 
Kwel kusoma kugumu,maana unahitaji kujipanga sio kukurupuka kama hawa wa sasa
 
Back
Top Bottom