Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Chai,ww ni mzee kweki miaka 50 ila kwa vile maisha magumu umezeeka zaidi we ni babu
Huna mbele wala nyuma
 
Nashukuru bwana nisaidie hata Dora 1 tu nikale
 
Naunga mkono hoja
Tukiongea ukweli ili kuwapa hamasa vijana wa sasa hivi ambao wanaamini huwezi kutoboa maisha bila shule mnasema tunajigamba,poa bwana huwezi kumrizisha kila mtu
 
Huo wivu wa nini, anahofia kuibiwa na vijana wa afu2😂😂
 
Uniite mzee halafu wakati unazaliwa mimi nilikuwa bado sijabalehe tutakosana ujue. Niite mzee kama naweza kukuzaa, vinginevyo inapendeza sana ukiniita braza, anko, mjomba
 
Unaweza ukawa na umri mdogo ukaonekana mzee,ila umri wako we ni mzee kwahiyo usikatae,inawezekana umbile lako pia inaonyesha ni mzee,umeeleza kuwa ulipiga sana bata viwanja na pombe,pombe ndo inafanya mtu aonekane mzee
 
Kuna mzee mwenzako humu jf anajiita Mzee wa kupambania, sijajua kama ni mzee kweli au la, na kama ni mzee, sijui anapambania nini Mzee wa kupambania Kuboma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…