Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Nyongeza ya hapo nimegundua wewe ni Msukuma
 
Mzee vipi inakuwaje?
Babu vipi inakuwaje?
Mbona salamu za kawaida hizi vijiweni.
 
Tangu tukiwa form two tunaitana "oya Mzee vipi?" Kawaida sana iyo🤣🤣🤣
 
Shukuru wewe wa umri wako wengi wamelamba tope
 
Kwa nini inaima kuwa hai mpaka unazeeka na uko na mafanikio?
 
Wakanye hao! Nakumbuka 1975 nilikuwa form four! Ningalikuzaa wewe! Sema neno Mzee Lina maana nyingi mojawapo ni boss au Mtoa ridhiki
 
Hutaki kukubali kuwa ni mzee? Uzee ni fikira tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…