Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Dec 30, 2024 #1 HAKUNA KITU KINACHOUMIZA KICHWA KWA SASA KAMA UKIKUMBUKA UMRI UNAKWENDA π
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Dec 30, 2024 #2 Kwamba umri unakwenda na hakuna kitu cha maana umefanya πππ.
0 075656 tgt Member Joined Sep 30, 2023 Posts 95 Reaction score 136 Dec 30, 2024 #3 Na walioko kwenye mfumo waserikali kilometres zimesoma washajikatia tamaa wanasubir pension [emoji17]
Na walioko kwenye mfumo waserikali kilometres zimesoma washajikatia tamaa wanasubir pension [emoji17]
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Dec 30, 2024 #4 Magical power said: HAKUNA KITU KINACHOUMIZA KICHWA KWA SASA KAMA UKIKUMBUKA UMRI UNAKWENDA πView attachment 3188329 Click to expand... Usiumie wala usijitese kuhusu Umri....maana huwezi kuurudisha nyuma. Wewe pambana utengeneze maisha yako tu. Usisahau kufurahia maisha ukipata muda/ nafasi.
Magical power said: HAKUNA KITU KINACHOUMIZA KICHWA KWA SASA KAMA UKIKUMBUKA UMRI UNAKWENDA πView attachment 3188329 Click to expand... Usiumie wala usijitese kuhusu Umri....maana huwezi kuurudisha nyuma. Wewe pambana utengeneze maisha yako tu. Usisahau kufurahia maisha ukipata muda/ nafasi.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Dec 30, 2024 #5 Mabadiliko ya teknolojia yanatufanya tuone kama tunachelewa kufikia ndoto zetu