Hakuna kitu kinaitwa time travel

Hakuna kitu kinaitwa time travel

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Hakuna time travel

Huo ni mpango wa shetani, dhamila ni ile ile anataka tusahau kitu kinaitwa kufa ili azidi kupromosheni harakati zake za kumpinga mungu

Achana na hao kuna hawa wanaomini hii time
travel, hawaamini mungu sijui niwaweke katika kundi gani.?
 
Back
Top Bottom