Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

Siku hizi mtu unaota wapi uwezo wa kudate na wanawake Zaidi ya watatu mkuu?
Kama mmoja tu anakupeleka race za kutosha na vipi kuhusu kumiπŸ˜…
 
Siku hizi mtu unaota wapi uwezo wa kudate na wanawake Zaidi ya watatu mkuu?
Kama mmoja tu anakupeleka race za kutosha na vipi kuhusu kumiπŸ˜…
Hao sio watu wa kuwaweka sana moyoni, ukipata matatu au kumi unaishi nayo kama unamiliki mmoja ili yasisanuke linakuja kusanuka ushalilaga mpaka utumbo na kukuacha halitoweza Tena.

Ukiwa na wanawake kumi hakuna wa kukupeleka race maana akizingua tuu mmoja huna haja ya kubembeleza piga chini unabakia na tisa Yani kwanza huwezi kuwa na stress maana utaobaki nao ni wengi kuliko Hiko kimoja kitachozingua, nako baada ya mda unampata kiulaini tuu wa kumreplace huyo wa kumi

Mwanamke dawa yake awe na mwenzake au wenzake
 
Una umri gani mkuu??
 
Kuwa na wanawake hata 20 sio ishu kwa mwanaume mkuu, kipengele ni mizinga kakaπŸ˜…
 
Kwamba hufurahii vibe la penzi jopya? Hufurahii ngozi mpya hujawahi kuigusa?πŸ˜‚πŸ˜‚

Penzi jipya tam sana asikwambie mtu.
 
Penzi jipya lina vibe sana, unavuta picha siku mtoto akikupa K, unakua mizuka sana

Kwa upande wa ma Ex hakuna jipya coz kila mnachofanya ni marudio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…