Hakuna kujaribu Mitambo tena muda umeisha sasa tunawasha mitambo moja kwa moja...

Hakuna kujaribu Mitambo tena muda umeisha sasa tunawasha mitambo moja kwa moja...

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Naona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi.

Modric,Kroos,Kova,Ascensio hatari tupu leo watu wanapigwa vyenga,kanzu,matobo,Long range shoot daa.

Barcelona Fans fanyeni maandamano Valvede asajili msije jikuta mnapigania kutoshuka daraja....

Poleni ndo mpira huo ukikutwa umekaa vibaya hakuna jinsi ni kichapo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikuitie ma-lemutuz ya Barca PNC 1 mwekundu subiria mapovu hapo hapoo mkuu!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
umefungwa hadi na arse8 ngao ya hisani na bado ukapoteza ligi halafu unajifariji kwa FC BARCELONA MIAMBA YA DUNIS KUTELEZA

pambana na timu yako
 
Naona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi.

Modric,Kroos,Kova,Ascensio hatari tupu leo watu wanapigwa vyenga,kanzu,matobo,Long range shoot daa.

Barcelona Fans fanyeni maandamano Valvede asajili msije jikuta mnapigania kutoshuka daraja....

Poleni ndo mpira huo ukikutwa umekaa vibaya hakuna jinsi ni kichapo tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kipigo cha USA kilikuumiza sana sasa umepata pa kuongelea ila kwa kuwa Barca inafungwa kila baada ya mechi 15-20 sasa subiria maumivu MAANA 92% ya nyuzi zako ni za kuiponda Barca ila tukishinda haubwabwaji
 
Sasa ukileta mambo ya Usa hapa sikuelewi kiongozi pale mlibeba kombe gani na huku timu inabadili kikosi kizima

hata huyu real madrid mbona usa Tulimkalisha na Super cup akatufunga.

Sajilini acheni ubishi tatizo hampendi kusikia ukweli unategemea mtu kama andre Gomes akupe UEFA Cup kweli?

mkileta Ubishi Zidane ataendelea kuwateseni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sie fans wa barca huwa hatupati furaha ya kiwango hiki pindi tunapowafunga madrid, bur wenzetu wamefurahi sana tena sana kutufunga coz wanajua huwawia vigumu sana kufny hvyo, hongereni sn bhana ila hatujafa kabisa km mnavyodhani tukisajili wale waili tu mambo yatachange kabisa
 
yaan madrid baada ya kuifunga barca zimeanzishwa nyuzi kibao humu hahahaaa yaan wanashangilia hatari maana furaha hio huwa wanaipata mara chache mnoo
 
Back
Top Bottom