kipigo cha USA kilikuumiza sana sasa umepata pa kuongelea ila kwa kuwa Barca inafungwa kila baada ya mechi 15-20 sasa subiria maumivu MAANA 92% ya nyuzi zako ni za kuiponda Barca ila tukishinda haubwabwajiNaona Barcelona leo hakuna cha kumjaribia mitambo mzee zizou/Zidane kaamua kuwasha mitambo moja kwa moja,Mitambo ipo safi ina watts za kutosha kibongo tunaweza sema ni mtambo wa Kinyerezi.
Modric,Kroos,Kova,Ascensio hatari tupu leo watu wanapigwa vyenga,kanzu,matobo,Long range shoot daa.
Barcelona Fans fanyeni maandamano Valvede asajili msije jikuta mnapigania kutoshuka daraja....
Poleni ndo mpira huo ukikutwa umekaa vibaya hakuna jinsi ni kichapo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukileta mambo ya Usa hapa sikuelewi kiongozi pale mlibeba kombe gani na huku timu inabadili kikosi kizimakipigo cha USA kilikuumiza sana sasa umepata pa kuongelea ila kwa kuwa Barca inafungwa kila baada ya mechi 15-20 sasa subiria maumivu MAANA 92% ya nyuzi zako ni za kuiponda Barca ila tukishinda haubwabwaji