M Mohamedex121 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2022 Posts 1,725 Reaction score 3,271 Jul 21, 2023 #21 Mgambo wanawaumiza sana wamachinga, sametimes wanaleta hasara. Mkuu nakushauri rudi tena road anza kuuza vinywaji fanyia ndani ya stendi ya daladala za kawaida mbezi
Mgambo wanawaumiza sana wamachinga, sametimes wanaleta hasara. Mkuu nakushauri rudi tena road anza kuuza vinywaji fanyia ndani ya stendi ya daladala za kawaida mbezi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 30, 2023 #22 Pole sana...
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Jul 31, 2023 #23 Njoo pm tujadil kwa uchache