Nimezipata hizi taarifa kwa watu wawili kuwa Serikali imetoa waraka kuzuia Watumishi kupanda madaraja mwaka huu eti hela hakuna, mwenye taarifa za uhakika nisaidie kama ni kweli au ikoje?

ni kweli manake hata kwetu tulipandishwa mwezi wa nne mwezi huu tumeletewa tena waraka kuwa zile barua tuzirudishe serekali imesema haizitambui hadi hapo watakapo tupa tena yangu sirudishi lakini