resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Habari ya wakati huu mdau wa JF??
*Sasa namiliki nyumba ya kisasa ndogo iliyonigharimu muda mrefu sana kufikia hatua hii ilipo na nimehamia nimeacha kuumia kila mara kwa kulipa kodi ktk nyumba ya kupanga, bado tu tiles kwa baadhi ya shm, finishing ya rangi nmeshaskim tayari, na aluminium windows zote bado na milango 2 ya ndani. Hivyo nimeweka pazia kwanza!
*Ina Master room 1 (14x10ft), Single room (10x9ft), Washroom 1 public (6x3ft), Sebule ndefu (17x11ft) inayoruhusu kuweka meza ya chakula kwa matumizi ya dining na chumba cha jiko kidogo (12x6ft)
Nilianzaje ujenzi?
-Baada ya kuchagua ramani iliyonivutia ya nyumba, nilimwambia fundi (rafiki yangu) aliyeichora anipatie vipimo vya milango na madirisha ili nianze kujipanga mdogo mdogo kwa sababu ya kipato changu kidogo.
Kila mwezi nilikuwa na uhakika wa kutengeneza dirisha 1 na mpaka dirisha zote za nyumba zikawa tayari!
Nilimwomba fundi akadirie nondo pia nikawa nanunua nondo angalau 2 na wakati mwingine 3 mpaka 4 hadi nilipokamilisha idadi aliyoniambia fundi.
-Wakati nafanya yote hayo nilikuwa naendelea kupanga, kwa tukio zuri mwenye nyumba hakuwa wivu, alikuwa mpenda maendeleo, kwani hata skuwah kumcheleweshea kodi.... alifurahi sana kuona nataka kujenga_ hivo madirisha na nondo zote aliniruhusu nizitunze hapo hapo tu nyumbani kwake getini!
-Majirani walinishangaa na baadhi hawakunielewa kabisa hasa nilipowaambia hata nyumba sijajenga ila tu nimeamua kuanza na madirisha na milango miwili (2)_wa nyuma na mbele!
-Baada ya muda nilianza kuweka akiba kidogo kidogo, nikanunua tofali (block), mchanga, na kokoto. Fundi wng huyo huyo mshikaji aliyenichorea ramani!
-Ili kupunguza gharama nilikuwa nakuwa saidia fundi na kwakweli kazi nyingi nimefanya mimi kama kujaza kifusi, kuchanganya cement, na kupandisha zege n.k
-Story hii ni ndf mno kuanzia 2016 hadi 2021 sasa, ila angalau kwa hapo ilipofikia unaweza kuona kwamba kuishi kwako hata kama kipato cha kujenga nyumba yote kwa haraka na kumaliza huna kama wengine wanavyofanya!
-Atakayehitaji ramani hii aniambie, maana ni simple haina complications zozote.
#Namewasilisha mawazo kama nilivyoelezwa na kuwa inspired na maisha aliyopitia jirani yng na anayoendelea kupitia ktk suala la zima ujenzi#
Sent from TECNO F1