Hakuna madhara kuweka simu karibu na nanihii??

huyo mdada anatumia mkorogo
 
Jinsi ya kuandaa mkate wa BOFLO

Mahitaji

Unga nusu kilo
Chumvi kiasi
Sukari kijiko 1 cha chai
Hamira kiasi
Mafuta ya kupikia vijiko 2 vya kula
Maji 1 mug (300ml)


Namna ya kupika
Changanya unga, chumvi na hamira

Kwenye mug changanya maji, sukari na mafuta

Mimina maji kidogo kidogo ndani yaunga

Ponda unga wako mpaka ulainike

Uwache mpaka uje juu

Uponde tena kidogo

Ugawe mara mbili

Weka kwenye vibati vilopakwa mafuta

Uwache uje juu sana

Bake 40 minutes au mpaka ukiona tayari
 
....ukisha andaa.......WHAT IS NEXT?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…