Pre GE2025 Hakuna mahali Msigwa amesema CHADEMA ni Chama Kibaya bali Mbowe Ndiye Mbaya. CCM muwe makini atarejea CHADEMA huyo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama

Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani

Mlale Unono πŸ˜€
 
Jambo moja nalo amini Mh Msigwa ni Mchungaji.

Anajua ule ujasusi wa Akina Daudi walivyozama ndani ya Jeshi la Amaleki na kujifanya amechanganyikiwa, mwisho akawamaliza woteπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama

Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani

Mlale Unono πŸ˜€
Mchgj Msigwa ni mlamba viatu mashuhuri.
Huko ccm akikosana na Mwenyekiti wao atahamia kwingine!
 

Attachments

  • FB_IMG_1721892194992.jpg
    53.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1719903155204.jpg
    51.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-07-21-09-14-46-163_com.whatsapp~2.jpg
    244.5 KB · Views: 3
  • downloadfile-21~2.jpg
    141.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…