Bosi Soma Walawi 17-7Mkuu, Hii elimu ya kuhusu majini unaitoa sana hapa jamvini lakini hawataki kukuelewa.
Bilblia hizi zinazotumika sasa hivi hakuna neno jini sasa sijui elimu kuwahusu hawa viumbe wakristo wanaitoa wapi.
Labda kwenye biblia yenye vitabu 72 ile yenye kitabu cha tobiti ndio imetaja majini kwa kutaja jina kabisa.
Tatizo humu wengi hawapendi kujifunza mambo mapya wanaamini katika wayoambiwa kuwa ndio sahihi pasina kuwa question hao walimu wao,
Majini wema wapo.
KizimkaziHapa Bongo hayo majini yanapatikana wapi wakuu??
Maelezo yako yanaonyesha wazi kwamba unachukulia majini ni mambo yenye kuwahusu waislamu tu, nyie ndio mkisikia majina ya jini maimuna,subiani n.k huwa mnadhani hayo ndio majina yao hao majini na kudhani ni waislamu wakati hata ukienda huko Arabuni hukuti hayo majina wakiita majini achia huko kwa wazungu.Hakuna jini Mkristo, hayo yote ni maislamu na Qur an inasema yalisilimu acha kukana ndugu zenu katika imani.
Basi waislamu wangesema majini wote ni wazuri hakuna jini mbaya au shetani. Sasa kwa nini bado shetani anapigwa vita?Hakuna jini Mkristo kama lipo lete ushahidi wa aya nikupe ushahidi wa majini na shetani kusilimu.
Tatizo mtu yeye anaamini majini ndio wale malaika waovu ndio maana ukimwambia kuna majini wema hawezi kukuelewa, ila shida sijui hata ilikuaje hadi wakawahusisha majini na hao malaika waovu.Mkuu, Hii elimu ya kuhusu majini unaitoa sana hapa jamvini lakini hawataki kukuelewa.
Bilblia hizi zinazotumika sasa hivi hakuna neno jini sasa sijui elimu kuwahusu hawa viumbe wakristo wanaitoa wapi.
Labda kwenye biblia yenye vitabu 72 ile yenye kitabu cha tobiti ndio imetaja majini kwa kutaja jina kabisa.
Tatizo humu wengi hawapendi kujifunza mambo mapya wanaamini katika wayoambiwa kuwa ndio sahihi pasina kuwa question hao walimu wao,
Majini wema wapo.
Ni Qur an sio mimi, Qur an imesema majini yalisilimu yakawa maislamu kwahiyo ni ndugu zenu katika imani + shetani ambaye naye vitabu vya kiislamu vinadai alisilimu na ni mwislamu mwenzenu.Maelezo yako yanaonyesha wazi kwamba unachukulia majini ni mambo yenye kuwahusu waislamu tu, nyie ndio mkisikia majina ya jini maimuna,subiani n.k huwa mnadhani hayo ndio majina yao hao majini na kudhani ni waislamu wakati hata ukienda huko Arabuni hukuti hayo majina wakiita majini achia huko kwa wazungu.
Sasa mkuu unadhani ukienda labda kwa wazungu wenye kuamini majini halafu uwaambie et majini yote ni waislamu wamesilimu watakushangaa hawatokuelewa unaongea vidude gani.
Kwani jini ni nani na shetani ni nani? Halafu nipe hilo andiko lenye kusema shetani alisimu na majini wote walisimu?Ni Qur an sio mimi, Qur an imesema majini yalisilimu yakawa maislamu kwahiyo ni ndugu zenu katika imani + shetani ambaye naye vitabu vya kiislamu vinadai alisilimu na ni mwislamu mwenzenu.
Kwembe ukristo unafundisha kua kuna malaika walifanya uovu au wanafanya uovu??Ukristo haujaeleza viumbe majini bali umeeleza malaika waovu. Wewe ukimuona mkristo anawaelezea majini we muulize source ya hayo maelezo.
Inafundisha kuna kundi la malaika walifanya uovu.Kwembe ukristo unafundisha kua kuna malaika walifanya uovu au wanafanya uovu??