Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Mwanangu ana miezi 11.Anachemka na kuharisha tumepima malaria hakuna.Atakuwa ana tatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke hospital Dr atamwona na kujua anaumwa nini, acha kutibu kienyeji utaua mtoto. Watoto wako very delicate
Pamoja na kumuona Dr. Pia mpime mtoto UTI, madaktari wengi husau hii kitu wakati ni very common kwa watoto
Nojo, unakuwa kama huwafahamu wauguzi wa TZ! Mtoa hoja anaomba ushauri si kwa sababu hajui/hajafika hospitari, bali kapata matibabu yasiyolidhisha; wauguzi wanakimbizana na ugumu wa maisha na hakuna uhakika wa matibabu!kwan hilo ndo la kuomba ushaur?we nenda kwa dr then utasaidiwa zaid kwan anatampima na kugundua tatizo.tena fasta fanya uende