Hakuna mantiki ya msingi kwanini umchukie msiyeabudu nae. Wajanja tumekuja kugundua nafsi zetu zimekuwa workshop ya chuki binafsi zinazoneemeshwa

Hakuna mantiki ya msingi kwanini umchukie msiyeabudu nae. Wajanja tumekuja kugundua nafsi zetu zimekuwa workshop ya chuki binafsi zinazoneemeshwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Katika nafsi yako nyeupe, Ebu jitazame na jitathimini logically acha mihemuko utafikiri kahaba kanunuliwa bia, then jiulize kuna maana gani ya kutengana kama wanadamu?

Kama kuna mtu alishawahi kuzaliwa akakutana na chapa ya msalaba au nyota/mwezi kwenye sehemu yoyote ya mwili wake ajitokeze?

Hakuna, eeh?

Basi kama ulizaliwa mwenye akili kama yangu, ngozi kama yangu na utashi kama wangu usije ukakaa kunihubiria kuhusu dini ya kweli ni hii na ile ni matapeli.

Akili zenu zimeliwa, mnafundishwa kukata vichwa vya wasio sujudu na kuamini kama nyie kwamba mtapewa thawabu ya milele.

Unajiita kidume mara msomi wakati ukipewa order ya kumchukia mwingine kirahisi rahisi unabebeka.
 
Back
Top Bottom