Hakuna marefu yasiyo na mwisho

Hakuna marefu yasiyo na mwisho

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,054
Reaction score
5,511
Baada ya kusota na masomo ya elimu ya chuo kikuu kwa muda wa miaka minne(huku ikitakiwa miaka mitatu tu). Hatimaye, japokuwa ilikuwa safari ndefu, imefika mwisho wake.

Mchanganuo,

2010/2011- Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dodoma.

2011/2012- Nyumbani pasipo kuelewa hatima baada ya kutokea mgomo mnamo 13/06/2011.

05/02/2012- Interview katika chuo kikuu cha Dodoma kuhusu mgomo. Haikuwa kazi ndogo mbele ya maprof wa kubwa kama Mlacha, Kinabo, Kikula.

2012/2013- Kurudishwa chuoni na kuendelea mwaka wa pili wa masomo.

2013/2014- Mwaka wa tatu wa masomo, na hatimaye 26/06/2014 nimehitimisha ingwe.

Sina hamu tena ya kuendelea kusoma(hasa kusomea kitu chochote bongo ya kibabaishaji). Mtu kusoma ka degree kamoja tu unazunguuuushwa as if ukikapata labada katakufanya usife.

Yaani uwe wa kipekee tofauti na wengine, kumbe ujinga mtupu(hasa kukaririshana mawazo ya wazungu tu). Ingawa elimu ya bongo ni kukaririshana tu mambo waliyogundua wazungu, lakini kama uko shapu utatoka na kitu cha ziada(ukiwa unajishughulisha ubongo).

Elimu ya bongo, itakuwa nzuri kama siasa hazitahusishwa katika mfumo mzima wa elimu. Tofauti na hapo, kutakuwa na ongezeko la watu wanaojiita wasomi, huku kichwani wakiwa ni ma mburula makubwa.

WALIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI na WASOMI WA TANZANIA NI CHAKULA CHA WANASIASA na WANASIASA NI CHAKULA CHA WAFANYABIASHARA WAKUBWA.
 
Hongera sana na pole kwa safari ya misuko suko ya kielimu iliotawaliwa na siasa asa alipoingia huyo jamaa wa msoga .
 
Ahhh....umeanza vema.Umemaliza kimipasho mkuu.Ni kama unatulazimisha tukubali unachokisema.Jenga hoja,acha watu wacriticise.
 
Haya karibu tena mtaani miaka minne mingine kupata kazi
 
Karibu mtaani huku ni zaidi ya huko ulikotoka.

karibu sana Chuo Kikuu cha Mtaani!!
 
Haya karibu tena mtaani miaka minne mingine kupata kazi

Haha ha ha, hapo red umenifurahisha sana. Ni kweli hiyo ipo kwa baadhi ya degree program ila kwa bsc yangu, never.
 
Haha ha ha, hapo red umenifurahisha sana. Ni kweli hiyo ipo kwa baadhi ya degree program ila kwa bsc yangu, never.

Ndugu Madaktari wenyewe wanapata tabu sembuse wewe, haya kama huna mtu aliekuwekea kazi hesabh kukaaa
 

Karibu Street University College of Hardknocks.
Huku unapewa pepa kwanza ndo unafundishwa na HAKUNA SEMESTERS.
 
ungekua unajua kuwa kuna walio kufunika ucnge sema mi nimemaliza la saba 2006 4m one nimeanza 2007 ndo nimemaliza 4m 4 mwaka 2013 cna hamu ya advc hata kdg coz 2lio anza nao fom one wengine wameajiliwa me ni chuo moja kwa moja
 
Hapo kuna,Mlacha,kinabo,Manonge,Mwamfupe,Madam aziza yule zeruzeru amabaye sasa hv anamimba hayupo,lubagunya kweli ni hatari sana wanaweza wakakukatisha tamaa ya kupata ka degree chako
 
hongerA...
Next time jiandae na "Plan B' kabla hujashabikia mgomo
 
Back
Top Bottom