Baada ya kusota na masomo ya elimu ya chuo kikuu kwa muda wa miaka minne(huku ikitakiwa miaka mitatu tu). Hatimaye, japokuwa ilikuwa safari ndefu, imefika mwisho wake.
Mchanganuo,
2010/2011- Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dodoma.
2011/2012- Nyumbani pasipo kuelewa hatima baada ya kutokea mgomo mnamo 13/06/2011.
05/02/2012- Interview katika chuo kikuu cha Dodoma kuhusu mgomo. Haikuwa kazi ndogo mbele ya maprof wa kubwa kama Mlacha, Kinabo, Kikula.
2012/2013- Kurudishwa chuoni na kuendelea mwaka wa pili wa masomo.
2013/2014- Mwaka wa tatu wa masomo, na hatimaye 26/06/2014 nimehitimisha ingwe.
Sina hamu tena ya kuendelea kusoma(hasa kusomea kitu chochote bongo ya kibabaishaji). Mtu kusoma ka degree kamoja tu unazunguuuushwa as if ukikapata labada katakufanya usife.
Yaani uwe wa kipekee tofauti na wengine, kumbe ujinga mtupu(hasa kukaririshana mawazo ya wazungu tu). Ingawa elimu ya bongo ni kukaririshana tu mambo waliyogundua wazungu, lakini kama uko shapu utatoka na kitu cha ziada(ukiwa unajishughulisha ubongo).
Elimu ya bongo, itakuwa nzuri kama siasa hazitahusishwa katika mfumo mzima wa elimu. Tofauti na hapo, kutakuwa na ongezeko la watu wanaojiita wasomi, huku kichwani wakiwa ni ma mburula makubwa.
WALIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI na WASOMI WA TANZANIA NI CHAKULA CHA WANASIASA na WANASIASA NI CHAKULA CHA WAFANYABIASHARA WAKUBWA.