Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
NCDs zinamaliza wengi, ongeza maelezo basi watu waelimike.
Breaking newsNCDs zinamaliza wengi, ongeza maelezo basi watu waelimike.
Noooooooo πBreaking news
Fanya lamination, ukiweza screenshoot.Noooooooo π
Halafu iweje?Fanya lamination, ukiweza screenshoot.
Ukanywe bia au wine lakini maji ya kunywa ni bora zaidiHalafu iweje?
Kama ni bora zaidi kwanini umezitaja Bia na wine?Ukanywe bia au wine lakini maji ya kunywa ni bora zaidi
zina bei chini kuliko majiKama ni bora zaidi kwanini umezitaja Bia na wine?
Wapi huko nije kuzifuatazina bei chini kuliko maji
Karibu BambergWapi huko nije kuzifuata
Asante, nielekeze nafikaje πKaribu Bamberg
Kwea pipa, nitakupokea.Asante, nielekeze nafikaje π
Uelekeo gani, nitumie na hiyo tiketi sasa πKwea pipa, nitakupokea.
Unataka ya shirika gani la ndege ?Uelekeo gani, nitumie na hiyo tiketi sasa π
Emirates au KLMUnataka ya shirika gani la ndege ?