King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia Kwenu wadau wa JF,
Kweli wahenga waliona mbali na kauli zao na nimeamini hakuna marefu yeyote yasiyokuwa na mwisho,usemi wao umethibitishwa na ma- beautiful oninyes wa donta,miaka kadhaa iliyopita walitikisa sana na mautajiri yao ya ajabu ajabu mara mwingine ana x5 ya 175mil mara mwingine ana nyumba ya 400m.
Lakini sasa kwishney kemcho tunakaa kwa raha maana wanaume tulikuwa tunaonekana suruali tu mbele za watu tukikanyaga ngodi(tz 11) na kupanga stoo maana hao ndio waliokuwa wanatolewa mfano iweje we na degree yako hauna nyumba wala gari wakati wacheza bongo mavi wanazo? Ukweli umejulikana.