King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wolper alitisha na x6 na kupanga ghorofa mbezi beach, ila mama ubaya aliua kununua nyumba ya mil 400
ilikuwa hatunywi maji kumbe anamyonya muuza sembe mpaka kamfilisi! Ni sheeedaaa!
.........Unayosema Fduni ni kweli lakini mtenda kosa kakosa na mrudia kosa vilevile,kwa hiyo Magufuli ninaamini you're responsible person .......tunahitaji maelezo
mbona Wema bado anaishi kwenye nyumba yake ya 400ML,kwa hiyo kama ulionekana mwanaume suruali tu kwa sababu ya mansion ya mama ubaya..ujue bado we ni mwanaume suruali...
Sidhani kama bado yupo pale labda warumi anaweza akawa anajua zaidi anaishi wapi siku hizi mama ubaya!
mjini msingi kiuno....lol
Naomba uniambie maana ya umofia kwenu
Anaishi kijitonyama ila sio kwenye ile nyumba aliyopangishiwa na clement, mbona hata kwenye kipindi chake walionyesha hiyo nyumba, kama mtu una kipaji kama warumi utajua, maana nilivyoona mazingira ya nje na rangi ya ukuta ni tofauti, ile ya clement ilikuwa kali sana hadi paving zake na rangi inawaka, sasa hii ya sasa ivi ni mbaya, nje kama nyumba za uswazi, ukipaki gari ndani nje unaona kila kitu, ndani pako wazi

We bongo muvi nn? Hukusoma 'things fall apart'Umuofia kwenu ...jibu igweeeeee
Anaishi kijitonyama ila sio kwenye ile nyumba aliyopangishiwa na clement, mbona hata kwenye kipindi chake walionyesha hiyo nyumba, kama mtu una kipaji kama warumu utajua, maana nilivyoona mazingira ya nje na rangi ya ukuta ni tofauti, ile ya clement ilikuwa kali sana hadi paving zake na rangi inawaka, sasa hii ya sasa ivi ni mbaya, nje kama nyumba za uswazi, ukipaki garu ndani nje unaona kila kitu, ndani pako wazi
Ila wewe binamu kwenye upashukunaku huna mpinzani,ngojea Maatope aje auongozee nyama kuhusu shemeji yake Wema bint Sepetu.
Ukishatendwa ndio bye bye ya msondo mpe ngurumo hayo mengine hayafai.
hivi ngurumo au gurumo?